
Charity Club cha Madereva Watembelea Kituo cha Watoto Yatima
Chama cha Charity (chariy club)cha madereva wa Shule ya Awali na Msingi Fountain Gate Dodoma kupitia Fountain Gate Foundation mapema leo wametembelea kitio cha kulea watoto yatima cha Tupendane kilichopo…